
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
Februari 22, 2020 ametoa pole kwa familia ya Mathew Champanda nyumbani
kwa marehemu eneo la Mwanga mjini Kigoma. Marehemu Champanda ambaye ni
kaka mkubwa wa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa MiguuTanzania
(TFF), Kidao Wilfred (wa pili kulia ) alifriiki dunia Februari 19,
2020 na anatarajiwa kuzikwa leo mjini Kigoma. Kulia ni ndugu wa
marehemu, Patric Wilfred. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Mathew Champanda ambaye
ni kaka mkubwa wa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania
(TFF), Kidao Wilfred (kushoto), nyumbani kwa marehemu Mwanga mjini
Kigoma, Februari 22, 2020. Champanda alifariki dunia Februari 19, 2020
na anatarajiwa kuzikwa leo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...