Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Mkoa wa Kigoma
kwenye ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa wa Kigoma, Februari 21, 2020.


Baadhi ya wajumbe wa Mkutano
wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Mkoa wa Kigoma wakimsikiliza Waziri Mkuu
na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM , Kassim Majaliwa wakati alipozungumza
nao kwenye ukumbi wa CCM Mkoa wa Kigoma, Februari21, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Wajumbe wa Mkutano wa Halmashuri Kuu ya CCM Mkoa wa
Kigoma kwenye ukumbi wa Ofisi ya CCM ya Mkoa wa Kigoma wakati
alipozungumza katika mkutano huo, Februari 21, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango wakati
alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma kwa ziara ya kikazi ya siku
moja, Februari 21, 2020. Katikati ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa
Kigoma, Amandus Nzamba.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwapungia wananchi wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa
Kigoma kwa ziara ya kikazi ya siku moja, Februari 21, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Mstaafu Emanuel
Maganga (wa tatu kushoto), Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa
Kigoma, Amandus Nzamba (wa pili kushoto) na Mjumbe wa Halmashauri
Kuu ya Taifa ya CCM, Kirumbe Ngenda wakati alipowasili kwenye uwanja wa
ndege wa Kigoma kwa ziara ya kikazi ya siku moja, Februari 21, 2020.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...