Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiufungua mkutano wa
Mawaziri wa SADC leo katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr,Mbweni
nje ya Mji wa Zanzibar,(kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Ali Iddi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Hassan Khatib
Hassan (katikati).

Katibu Mtendaji wa SADC
Dkt.Stergomena lawrence Tax (kushoto) alipokuwa akizungumza katika
Mkutano wa Mawaziri wa SADC kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuufungua mkutano
huo leo,katika Hoteli ya Madinat Al Bahr,Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.

Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa
Mawaziri wa SADC wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiufungua mkutano huo
uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr,Mbweni nje ya
Mji wa Zanzibar

Baadhi ya Vioongozi mbali
walioalikwa katika Mkutano wa Mawaziri wa SADC wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akiufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya
Madinat Al Bahr,Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akiufungua
mkutano wa Mawaziri wa SADC leo katika Mkutano wa Mawaziri wa SADC
iliofanyika leo katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr,Mbweni nje ya
Mji wa Zanzibar

Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa
Mawaziri wa SADC wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiufungua mkutano huo
uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr,Mbweni nje ya
Mji wa Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akiufungua
mkutano wa Mawaziri wa SADC leo katika Mkutano wa Mawaziri wa SADC
iliofanyika leo katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr,Mbweni nje ya
Mji wa Zanzibar

Miongoni mwa Wajumbe wa Mkutano wa
Mawaziri wa SADC wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiufungua mkutano
huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr,Mbweni nje
ya Mji wa Zanzibar leo, [Picha na Ikulu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Katibu
Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena lawrence Tax (kushoto) na Waziri wa
Nchi ofisi ya Makamo wa Rais,Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu
Jenista Joakim Mhagama (kulia) mara alipowasili katika Hotel Madinat Al
Bahr,Mbweni Nje ya Mji wa Zanzibar kufungua mkutano wa Mawaziri wa SADC
leo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...