Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na wajumbe wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC),
ofisini kwake Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 11, 2020. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipokea kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa
(NHC), Dkt. Sophia Kongela, orodha ya majina ya taasisi na watu binafsi
ambao ni wadaiwa sugu wa NHC katika mazungumzo na wajumbe wa Bodi ya
NHC yaliyofanyika ofisini kwa Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar es salaam,
Februari 11, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiagana na Mjumbe wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Humphrey
Polepole baada ya kuzungumza na wajumbe wa Bodi hiyo ofisini kwake ,
Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 11, 2020. Wengine pichani
kutoka kushoto ni Abdallah Shamte, Mwenyekiti wa Bodi, Dkt. Sophia
Kongela, Makamu Mwenyekiti wa Bodi, Martin Madekwe, Sauda Msemo na
kulia ni Charles Singili. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi ya Shirika la Nyumba la
Taifa (NHC) baada ya kuzungumza nao ofisini kwake , Magogoni jijini Dar
es salaam, Februari 11, 2020. Kutoka kushoto ni Charles Singili,
Humphrey Polepole, Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Dkt Sophia Kongela, Makamu
Mwenyekiti, Martin Madekwe, Sauda Msemo na kulia ni Abdallah
Shamte. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...