Baadhi ya askari wakiusindikiza mwili wa Rais Mstaafu wa Kenya hayati Daniel Arap Moi katika maombolezo ya msiba huo nchini Kenya.
Moja ya bango lililopo barabarani likiashiria maombolezo ya msiba wa Rasi Mstaafu wa Kenya hayati Daniel Arap Moi
Msafara wa magari likiwemo gari lililobeba mwili wa Rais Mstaafu wa Kenya hayati Daniel Arap Moi katika maombolezi ya msiba huo nchini Kenya
Rais mstaafu wa awamu ya Tatu Mhe.Benjamin Mkapa akisaini Kitabu cha maombolezo katika msiba wa Rais mstaafu wa Kenya, hayati Daniel Arap Moi.
Marais wastaafu wa Tanzania William Benjamin MKapa pamoja na Jakaya Mrisho Kikwete wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomokenyetta,Nairobi nchi Kenya kwa ajili ya kushiriki mazishi Rais Mstaafu wa Kenya hayati Daniel Arap Moi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...