Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni
akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Marco Gaguti
(kushoto), baada ya kuwasili mkoani Kagera leo kwa ziara ya kikazi.Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoani Kagera wakimsikiliza Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia),wakati
wa kikao cha ndani kilichohusu masuala ya Ulinzi na Usalama.Wapili
kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Brigedia Jenerali Marco Gaguti.Naibu
Waziri Masauni amewasili mkoani Kagera leo kwa ziara ya kikazi.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Brigedia Jenerali Marco Gaguti akizungumza na
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(kulia)juu
ya masuala mbalimbali ya Ulinzi na Usalama baada ya Naibu Waziri
Masauni kuwasili mkoani hapo leo kwa ziara ya kikazi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...