Spika wa Bunge,
Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Mabalozi wastaafu pale Mabalozi hao
walipoingia katika ukumbi wa Bunge kwa ajili ya kujifunza jinsi Bunge
linavyofanya kazi zake.
Spika wa Bunge,
Mhe. Job Ndugai akiagana na Mabalozi mbalimbali wastaafu nje ya ukumbi
wa Bunge Jijini Dodoma. Mabalozi hao walitembelea Bunge kwa ajili ya
kujifunza jinsi Bunge linavyofanya kazi zake

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa saba kushoto) katika picha ya pamoja na Mabalozi

Spika wa Bunge,
Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Balozi Mstaafu, Mhe. Matilda Buriani
pale Mabalozi wastaafu walitembelea Bunge kwa ajili ya kujifunza jinsi
Bunge linavyofanya kazi zake Jijini Dodoma. Kushoto ni Naibu Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Damas
Ndumbaro.

Mabalozi
mbalimbali wastaafu wakiwa katika ukumbi wa Bunge wakimsikiliza Spika
Job Ndugai (hayupo kwenye picha) walipomtembelea leo Bungeni Jijini
Dodoma. Pia walijifunza jinsi Bunge linavyofanya kazi zake.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...