

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati akikata utepe kuzindua Kipindi cha awamu ya Tatu ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF iii) katika ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere International Convention Centre JNICC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akionesha Kitabu cha Utekelezaji wa Mpango huo wa TASAF pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi, Rais
Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete, mara baada ya kuzindua Kipindi cha awamu ya Tatu ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF III) katika ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere International Convention Centre JNICC.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kabla ya kuzindua Kipindi cha awamu ya Tatu ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF III) katika ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere International Convention Centre JNICC.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Kitabu cha Utekelezaji wa Mpango huo wa TASAF III kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara baada ya kuuzindua katika ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere International Convention Centre JNICC.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...