Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Janeth
Magufuli pamoja na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki wakishiriki Misa
Takatifu Dominika ya 04 ya Mwaka “A” iliyofanyika katika kanisa la
Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada
iliyoongozwa na Paroko wa Parokia hiyo Padre Dkt. Alister Makubi,
Febuari 02, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi na mkewe
Janeth Magufuli ya kuwapongeza viongozi wapya wa halmashauri ya Walei
ngazi ya parokia kwa kuchaguliwa wakati wa Misa Takatifu Dominika ya 04
ya Mwaka “A” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya
Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko wa Parokia
hiyo Padre Dkt. Alister Makubi, Febuari 02, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Dkt. Adelhelm
Meru kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa halmashauri ya Walei ngazi ya
parokia wakati wa Misa Takatifu Dominika ya 04 ya Mwaka “A” iliyofanyika
katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es
Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko wa Parokia hiyo Padre Dkt. Alister
Makubi, Febuari 02, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Janeth
Magufuli wakiwapongeza viongozi wapya wa halmashauri ya Walei ngazi ya
parokia wakati wa Misa Takatifu Dominika ya 04 ya Mwaka “A” iliyofanyika
katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es
Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko wa Parokia hiyo Padre Dkt. Alister
Makubi, Febuari 02, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Paroko wa
parokia hiyo Padre Dkt. Alister Makubi na Mzee wa Kanisa Dkt. Adelhelm
Meru mara baada ya ibada ya Misa Takatifu Dominika ya 04 ya Mwaka “A”
iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay
jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko wa Parokia hiyo Padre
Dkt. Alister Makubi, Febuari 02, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth
Magufuli akiagana Mwenyekiti mpya wa halmishauri ya Walei ya parokia
Dkt. Adelhelm Meru katikati ni Paroko wa parokia hiyo Padre Dkt. Alister
Makubi mara baada ya ibada ya Misa Takatifu Dominika ya 04 ya Mwaka “A”
iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay
jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko wa Parokia hiyo Padre
Dkt. Alister Makubi, Febuari 02, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na waumini
mbalimbali mara baada ya ibada ya Misa Takatifu Dominika ya 04 ya Mwaka
“A” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay
jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko wa Parokia hiyo Padre
Dkt. Alister Makubi, Febuari 02, 2020.
PICHA NA IKULU

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...