Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira amesema Mtume Boniphace Mwamposa amekamatwa na atapelekwa Mkoani kilimanajro kesho kwa ajili ya kuhojiwa huku akilaani kitendo kilichotokea na kusema waliofariki wanatarajiwa kuagwa kesho katika viwanja vya Majengo.
•
Watu 20 wamefariki katika ibada ya mahuburi wakati wa harakati za kukanyaga mafuta ya upako kwenye kongamano la Boniface Mwamposa ‘Bulldozer’ katika Viwanja vya Majengo Moshi, Kilimanjaro.
•
Watu 20 wamefariki katika ibada ya mahuburi wakati wa harakati za kukanyaga mafuta ya upako kwenye kongamano la Boniface Mwamposa ‘Bulldozer’ katika Viwanja vya Majengo Moshi, Kilimanjaro.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...