RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt. Stergomena Lawrence Tax,
alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar alipofika kuonana na
kufanya mazungumzo leo 21-2-2020.(Picha na Ikulu)

RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akimsikiliza Katibu Mtendaji wa SADSC , Dkt. Stergomena Lawrence Tax,
alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo
21-2-2020.(Picha na IKULU)

RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akizungumza na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt. Stergomena Lawrence Tax,
alipofika Ikulu leo 21-2-2020 kwa mazungumzo yaliofanyika Ikulu Jijini
Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...