
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,
katika mkutano wa uwasilishaji wa Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi
kwa Ofisi hiyo kwa kipindi cha mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020,
uliofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

WAZIRI wa Nchi
Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed
akiwasilisha muktasari wa Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa
Ofisi yake kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, (kushoto kwa Waziri) Katibu Mkuu
Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na
(kulia kwa Waziri) Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mhe. Mihayo Juma N’hunga

BAADHI ya
Wakurugenzi wa Idara za Ofisi mbalimbali za Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar, wakifuatilia mkutano huo wa uwasilishaji wa Taarifa ya
Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020.
Ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) uliuofanyika katika ukumbi
wa Ikulu jijini Zanzibar.

BAADHI ya
Maofisa wa Idara mbalimbali za Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar , wakifuatila taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Ofisi
yao kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, wakati Naibu Katibu Mkuu
wa Ofisi hiyo akiwasilisha Taarifa ya Mpango kazi, Ndg. Abdalla Hassan
Mitawi,(hayupo pichani) mkutano uliofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar

NAIBU Katibu
Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Ndg. Abdalla Hassan
Mitawi akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa
Julai hadi Disemba 2019/2020, mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar, (kulia) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi
Seif Ali Iddi.

KATIBU wa Makamu wa Pili wa Rais
wa Zanzibar Ndg.Mohammed Ali Abdalla, akijibu maswali yaliouliza katika
mkutano huo wa uwasilishwaji wa taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi
kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020. Uliofanyika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar, ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi.Mhe Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) (Picha na
Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...