Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani (RTO) Singida, Edson Mwakihaba akigawa makoti ya usalama barabarani kwa madereva wa boda boda mjini Singida kwenye kampeni ya ‘Usinywe na kuendesha (Don’t Drink and Drive) kutoka kampuni ya Serengeti Breweries SBL leo

RTO Mkoa wa Singida Edson Mwakihaba , Meneja Uhusiano na Serikali wa SBL, Neema Temba wakiwa na madereva wa Bodaboda mkoa wa Singida katika mafunzo ya ‘Usinywe na kuendesha (Don’t Drink and Drive) kutoka kampuni ya Serengeti Breweries SBL leo

Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani (RTO) Singida, Edson Mwakihaba (kushoto) na Meneja Uhusiano na Serikali wa SBL, Neema Temba (kulia) wakikabidhi makoti ya usalama barabarani kwa Mwenyekiti wa bodaboda Singida Mjini, Abdul Misigo kwenye hafla ya kampeni ya SBL ‘Usinywe na kuendesha chombo cha moto’ iliyofanyika leo stendi ya mabasi mjini Singida.

Picha ya pamoja kutoka kushoto ni Mkuu wa Mauzo SBL Singida, Godwin Urassa , RTO Singida, Edson Mwakihaba, Meneja Uhusiano na Serikali wa SBL, Neema Temba, na Mkaguzi wa Magari mkoa Singida, Hassan Hamis Hassan mara baada ya uzinduzi wa kampeni ya SBL ‘Usinywe na kuendesha chombo cha moto’ iliyofanyika leo stendi ya mabasi mjini Singida.

Picha ya pamoja kutoka kushoto Anorld Kisukuli Mkurugenzi wa kanda ya kati Dodoma wa chama cha kutetea Abiria Tanzania, RTO mkoa wa Singida Edson Mwakihaba na Neema Temba
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...