Balozi wa Denmark nchini, Mette Norgaard Dissing Spandet (kushoto) akizungumza na uongozi wa Benki ya CRDB, ulioongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Dkt. Ally Laay (wa pili kulia), Mkurugenzi Mtendaji, Abdulmajid Nsekela (wa tatu kulia), Mkurugeni wa Hazina na Mitaji ya Masoko, Alex Ngusaru (katikati) pamoja na Mkurugenzi wa Mawasiliano, Tully Esther Mwambapa (kulia), uliofika ofisini kwake kuzungumzia maswala mbalimbali yanayohusu Benki hiyo, ambapo Serikali ya Denmark kupitia Shirika lake la uwekezaji la DANIDA ni wanahisa wa Benki ya CRDB.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa pili kushoto) akimkabisha kablasha, Balozi wa Denmark nchini, Mette Norgaard Dissing Spandet wakati wa kikao kilichofanyika kwenye ukumbi wa Mkikutano wa Ubalozi wa Denmark, jijini Dar es salaam, jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...