Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Ayoub Mohamed Mahmoud akizungumza katika sherehe ya kuwaaga Wageni
kutoka Taasisi ya Rafiki Elimu huko Skuli ya Mwera Wilaya ya Kati .
Mkuu wa Wilaya ya
Kati Hamida Mussa Khamiss akizungumza katika sherehe ya kuwaaga Wageni
kutoka Taasisi ya Rafiki Elimu huko Skuli ya Mwera Wilaya ya Kati .
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Ayoub Mohamed Mahmoud akimkabidhi Jezi za
Mpira Mwanafunzi Nassor Hassan kutoka Skuli ya Mwera Msingi katika
sherehe ya kuwaaga Wageni kutoka Taasisi ya Rafiki Elimu huko Skuli ya
Mwera Mkoa wa Kusini Unguja.
Katibu Msaidizi kutoka Taasisi ya Rafiki Elimu Said Shaame Khamis
akitoa Shukurani kuhusu mashirikiano waliyoyapata katika kufanya kazi
yao huko Skuli ya Mwera Wilaya ya Kati.
Mwalimu Riziki kutoka Skuli ya Mwera Msingi akisoma Risala
katikasherehe ya kuwaaga Wageni kutoka Taasisi ya Rafiki Elimu huko
Skuli ya Mwera Mkoa wa Kusini Unguja.
Wanafunzi wa Skuli ya Mwera Msingi wakicheza mchezo wa kuvuta kamba na
Ngoma huko Mwera Wilaya ya Kati Unguja Katika sherehe ya kuwaaga Wageni
kutoka Taasisi ya Rafiki Elimu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...