Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akiwaangalia
watoto mapacha watatu waliozaliwa Hospitali ya Wilaya ya Mpwapwa, Mkoani
Dodoma. Kushoto ni Mama Mzazi wa watoto hao, Mariam Jonas. Simbachawene
ameahidi kuwahudumia mapacha hao mpaka watakapo kuwa watu wazima. Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto),
akiagana na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mpwawa, Dkt Hamza Mkingule,
baada ya kufika hospitali hapo kuwaangalia watoto mapacha watatu
waliozaliwa katika Hospitali hiyo, Mjini humo Mkoani Dodoma.
Simbachawene ameahidi kuwahudumia mapacha hao mpaka watakapo kuwa watu
wazima.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto),
akizungumza na mama aliyejifungua watoto watatu mapacha, Mariam Jonas,
katika hospitali ya Wilaya ya Mpwapwa. Simbachawene ameahidi kuwahudumia
mapacha hao mpaka watakapo kuwa watu wazima.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akiongozwa na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mpwawa, Dkt Hamza Mkingule, kuingia wodi namba nane ya Hospitali ya Wilaya ya Mpwapwa, kumwangalia mama aliyejifungua watoto mapacha watatu waliozaliwa katika Hospitali hiyo, Mjini humo Mkoani Dodoma. Simbachawene ameahidi kuwahudumia mapacha hao mpaka watakapo kuwa watu wazima. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...