Waziri wa Mambo ya Nje, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) afanya mazungumzo na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Balozi Wang Ke. Mazungumzo yalilenga kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na China ambapo nchi hizi zinaelekea kuadhimisha mika 55 tangu kusainiwa mktaba wa urafiki
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiongea na Balozi wa China nchini Tanzania, Balozi Wang Ke katika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam
Balozi wa China nchini Tanzania, Balozi Wang Ke akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) wakati walipokutana kwa mazungumzo katika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiongea na Balozi wa China nchini Tanzania, Balozi Wang Ke katika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam. Upande wa kulia mwa Waziri ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...