Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Misingi ya Dar es salaam Independent School ya Mikocheni ambao walifika bungeni jijini Dodoma kwa ziara ya mafunzo, Februari 4, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Dar es salaam Independent School ya Mikocheni ambao walifika bungeni jijini Dodoma kwa ziara ya mafunzo, Februari, 4, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Urambo Margaret Sita (kushoto) na Mbunge wa Viti Malaam, Mwanne Mchemba kwenye vivanja vya bunge jijini Dodoma, Februari 4, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Mbunge wa Rufiji, Mohamed Mchengerwa kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Februari 4, 2020.
Naibu waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Stella Ikupa akizungumza na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt, Mary Mwanjelwa, bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2020.
Naibu waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Stella Ikupa akizungumza na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt, Mary Mwanjelwa, bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2020.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kushoto) akizungumza na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (kulia) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Profesa Adelardus Kilangi, bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, bungeni jijini Dodoma Februari 4, 2020.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye ulemavu, Jenista Mhagama akizungumza na mbunge wa Viti Maalum Jackline Ngonyani Mshongozi (kushoto), bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2020.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...