Meneja Mkuu wa Kampuni ya
Uchimbaji na Uchenjuaji wa Dhahabu ya Apex Resources, Joseph Kimogele
(kulia) akielezea shughuli zinazofanywa na kampuni yake kwa Mwenyekiti
wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula (katikati) mara alipofanya
ziara ya kukagua shughuli za uchimbaji na uchenjuaji wa madini ya
dhahabu kwenye kampuni hiyo katika eneo la Itumbi Wilayani Chunya Mkoani
Mbeya tarehe 14 Februari, 2020. Wa pili kushoto ni Afisa Madini Mkazi
wa Chunya, Godson Kamihanda.

Shughuli za uchenjuaji wa madini
ya dhahabu zikiendelea katika Kampuni ya Uchimbaji na Uchenjuaji wa
Dhahabu ya Apex Resources, iliyopo katika eneo la Itumbi Wilayani Chunya
Mkoani Mbeya tarehe 14 Februari, 2020

Meneja Mkuu wa Kampuni ya
Uchimbaji na Uchenjuaji wa Dhahabu ya Apex Resources, Joseph Kimogele
(katikati) akielezea matumizi ya mtambo maalum wa kuchenjua madini ya
dhahabu kwa Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula ( wa pili
kushoto) mara alipofanya ziara ya kukagua shughuli za uchimbaji na
uchenjuaji wa dhahabu kwenye kampuni hiyo katika eneo la Itumbi Wilayani
Chunya Mkoani Mbeya tarehe 14 Februari, 2020. Kulia ni Afisa Madini
Mkazi wa Chunya, Godson Kamihanda.

Mwenyekiti wa Tume ya Madini,
Profesa Idris Kikula ( katikati) akiwa katika picha ya pamoja na
wafanyakazi wa Kampuni ya Uchimbaji na Uchenjuaji wa Dhahabu ya Apex
Resources na wataalam kutoka Tume ya Madini mara baada ya kumaliza ziara
yake ya kikazi kwenye kampuni hiyo katika eneo la Itumbi Wilayani
Chunya Mkoani Mbeya tarehe 14 Februari, 2020.

Meneja Mkuu wa Kampuni ya
Uchimbaji na Uchenjuaji wa Dhahabu ya Apex Resources, Joseph Kimogele
(mbele) akielezea matumizi ya bwawa la kuhifadhi mabaki ya udongo wenye
madini ya dhahabu uliochenjuliwa kwa Mwenyekiti wa Tume ya Madini pamoja
na timu yake kwenye ziara yake ya kikazi kwenye kampuni hiyo katika
eneo la Itumbi Wilayani Chunya Mkoani Mbeya tarehe 14 Februari, 2020.

Meneja Mkuu wa Kampuni ya
Uchimbaji na Uchenjuaji wa Dhahabu ya Apex Resources, Joseph Kimogele
(kulia) akielezea namna uchimbaji wa chini ya ardhi unavyofanyika kwa
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula (katikati) kwenye
ziara yake ya kikazi kwenye kampuni hiyo katika eneo la Itumbi Wilayani
Chunya Mkoani Mbeya tarehe 14 Februari, 2020. Kushoto ni Afisa Madini
Mkazi wa Chunya, Godson Kamihanda.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...