Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge akisalimiana na Kaimu Balozi wa Pakistan nchi Bw. Mohammad Saleem alipowasili katika Ofisi za Makao Makuu ya Wizara jijini Dodoma. Wawili hao wamejadili masuala mbalimbali ya kudumisha na kukuza uhusiano wa kidiplomasia baina ya nchi hizi mbili.

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge na Kaimu Balozi wa Pakistan nchi Bw. Mohammad Saleem wakiwa katika mazungumzo yaliyofanyika kwenye Ofisi za Wizara jijini Dodoma. Wengine ni Caesar C. Waitara Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia (Wa kwanza kulia) na Afisa kutoka Ubalozi wa Pakistan nchini (Wa nne kushoto).

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge akielezea jambo kwa Kaimu Balozi wa Pakistan nchi Bw. Mohammad Saleem walipo kutana kwa mazungumzo katika Ofisi za Wizara jijini Dodoma

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge akimsikiliza Kaimu Balozi wa Pakistan nchi Bw. Mohammad Saleem walipo kutana kwa mazungumzo katika Ofisi za Wizara jijini Dodoma

Mazungumzo yakiwa yanaendelea

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...