WAZIRI
Asiyekuwa na Wizara Maalum (MBM) Mhe Said Soud Said akipimwa joto la
mwili kabla ya kuingia katika viwanja vya Ikulu Zanzibar kuhudhuria
Kikao cha Baraza la Mapinduzi Kilichofanyika Ikulu Jijini
Zanzibar.25/11/2020. Anayefuata ni Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasi
Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Bi. Maryam Juma Sadala.(Picha na Ikulu)

KATIBU Mkuu
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za
SMZ.Bi. Radhia Haroub Rashid, akipimwa joto la mwili kutumia mashine
maalum, wakati akiwasili katika viwanja Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na
Ikulu)

WAZIRI wa Nchi
Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud
Mohammed akiwa katika zoezi la kupimwa joto la mwili kabla ya kuingia
katika viwanja vya Ikulu Zanzibar kuhudhuria Kikao cha Baraza la
Mapinduzi kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
leo,25/11/2020.(Picha na Ikulu)


WAZIRI wa
Sheria na Katiba Zanzibar Mhe. Khamis Juma Mwalim akipimwa joto la mwili
kutumia mashine maalum, wakati akiwasili katika viwanja vya Ikulu
kuhudhuria Kikao cha Baraza la Mapinduzi kilichofanyika leo 25/11/2029
Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

WAZIRI wa Afya
Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed akipimwa joto la mwili wakati
akiwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar kuhudhuria Kikao cha
Baraza la Mapinduzi kilichofanyika leo Ikulu 25/11/2020 Ikulu
Zanzibar.(Picha na Ikulu)

WAZIRI wa
Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Mhe. Balozi.Ali Abeid Karume
akipimwa joto la mwili kabla ya kuingia katika viwanja vya Ikulu
Zanzibar kuhudhuria Kikao cha Baraza la Mapinduzi kilichofanyika leo
25/11/2020.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...