Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) akiongea na Ujumbe wa maseneta sita (6)
kutoka Ufaransa leo katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti wa Ujumbe wa maseneta sita (6) kutoka Ufaransa, Bw. Herve
Maurey (upande wa kulia mwa Naibu Waziri) akifafanua jambo wakati wa
maongezi baina yao na Naibu Waziri, Dkt. Ndumbaro katika Ofisi Ndogo za
Wizara Jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti wa maseneta kutoka Ufaransa, Bw. Herve Maurey akimkabidhi
zawadi Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...