Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani
Kailima (Wa pili kushoto), akifafanua jambo kwa Wasimamizi wa Mradi
wa Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji Nchini, SUMA
JKT pamoja na baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
alipokuwa katika Ziara ya Kukagua Maendeleo ya Ujenzi huo, Jijini
Dodoma leo.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani
Kailima (Wa tatu kushoto), akikagua Mradi wa Ujenzi wa Jengo la
Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji Dodoma, alipokuwa katika Ziara ya
Kukagua Maendeleo ya Ujenzi huo leo, jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani
Kailima (Wa pili kushoto), akifafanua jambo kwa Wasimamizi wa Mradi
wa Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji, SUMA JKT
alipokuwa katika Ziara ya Kukagua Maendeleo ya Ujenzi huo, Jijini
Dodoma leo.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani
Kailima (Wakwanza kushoto), akitoa maelekezo kwa Mhandisi David
Palangyo, (Wa pili kulia) anayesimamia Mradi wa Ujenzi wa Jengo la
Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji linaloendelea kujengwa jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani
Kailima (Wa pili kushoto), akifafanua jambo kwa Wasimamizi wa SUMA
JKT wanaosimamia Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu ya Idara ya
Uhamiaji, alipokuwa katika Ziara ya Kukagua Maendeleo ya Ujenzi huo,
Jijini Dodoma leo.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani
Kailima (Wa kwanza kushoto) akitoka Kukagua Maendeleo ya Mradi wa
Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji Nchini, Jijini
Dodoma leo.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani
Kailima (Wa tatu kushoto), akifafanua jambo mbele ya baadhi ya
Watendaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi pamoja na Wasimamizi wa
SUMA JKT wanaosimamia Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu ya Idara
ya Uhamiaji. Kailima alikuwa katika Ziara ya Kukagua Maendeleo ya
Ujenzi huo, Jijini Dodoma leo.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani
Kailima (Wa pili kushoto), akifafanua jambo mbele ya Wasimamizi wa
SUMA JKT wanaosimamia Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu ya Idara
ya Uhamiaji, alipokuwa katika Ziara ya Kukagua Maendeleo ya Ujenzi
huo, Jijini Dodoma leo.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani
Kailima (Wa kwanza kushoto), akitoka Kukagua Maendeleo ya Mradi wa
Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji, Jijini Dodoma leo.
Muonekano wa sehemu ya Jengo la Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji
linaloendelea kujengwa, ambalo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima, amelikagua leo Jijini Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...