Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzani, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi
(wa kwanza kushoto) akiwaongoza baadhi ya Majaji wa Mahakama ya
Tanzania kuubeba mwili wa marehemu , Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya
Tanzania, Mhe. Nathaniel Melkizedek Mushi, kwa ajili ya mazishi,
alifariki dunia Machi 11, mwaka huu nyumbani kwake Mailisita Moshi
Mjini, ambapo pia mazishi yake yalifanyika katika eneo hilo, mwanzoni
mwa wiki hii mkoani Kilimanjaro.
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzani, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi
akizungumza jambo wakati wa mazishi ya marehemu , Jaji Mstaafu wa
Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Nathaniel Melkizedek Mushi, alifariki
dunia Machi 11, mwaka huu nyumbani kwake Mailisita Moshi Mjini, ambapo
pia mazishi yake yalifanyika katika eneo hilo, mwanzoni mwa wiki hii
mkoani Kilimanjaro.
Baadhi ya Majaji wa Mahakama ya Tanzania wakiwa katika mazishi hayo.(Picha na Mahakama ya Tanzania)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...