Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Aliyesimama) akifafanua jambo mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama. Wajumbe hao wamepokea Taarifa ya Mradi wa Ujenzi Makao Makuu ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Jijini Dodoma leo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Katikati), akimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Salum Rehani (Wa kwanza kulia) alipokuwa akisisitiza jambo  wakati Kamati hiyo ilipokuwa ikipokea Taarifa ya  Mradi wa Ujenzi  Makao Makuu ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Jijini Dodoma leo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Watano kushoto) akifafanua jambo mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Wajumbe wa Kamati hiyo wamekagua eneo utakapofanyika Mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Jijini Dodoma leo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dkt. Anorld Kihaule (Wa kwanza kulia) akifafanua jambo mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Wajumbe wa Kamati hiyo wamekagua eneo utakapofanyika Mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Jijini Dodoma leo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Wa kwanza kushoto), Makamo Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Salum Rehani (Wa pili kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dkt. Anorld Kihaule (Wa kwanza kulia) pamoja na Wajumbe wengine wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, wakitoka kukagua eneo la Mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Jijini Dodoma leo..
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dkt. Anorld Kihaule (Wa kwanza kulia) akifafanua jambo mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Wajumbe wa Kamati hiyo wamekagua eneo utakapofanyika Mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Jijini Dodoma leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...