Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na familia ya Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania, Hayati
Edward Moringe Sokoine wakati alipokwenda kutoa pole kwa familia hiyo
imeondokewa na Lazaro Edward Sokoine jijini Dar es salaam, Machi 29,
2020. Kutoka kushoto ni Balozi Joseph Sokoine ambaye pia ni Naibu Katibu
Mkuu,Ofisi ya Makamu wa Rais, Halima Jama, Mama Napono Sokoine ,
Christina Towo Sokoine na Kulia ni Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Kivuyo
Lemburs

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Balozi Joseph Sokoine (katikati) na Mkuu wa Wilaya
Mstaafu, Kipuyo Lemburs wakati alipotoa pole kwa familia ya aliyekuwa
Waziri Mkuu wa Tanzania, Hayati Edward Moringe Sokoine ambayo
imeondokewa na Lazaro Edward Sokoine, jijini Dar es salaam Machi 29,
2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Balozi Joseph Sokoine (katikati) na Mkuu wa Wilaya
Mstaafu, Kipuyo Lemburs wakati alipotoa pole kwa familia ya aliyekuwa
Waziri Mkuu wa Tanzania, Hayati Edward Moringe Sokoine iliyoondokewa na
Lazaro Edward Sokoine jijini Dar es salaam Machi 29, 2020. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...