Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Ayoub Mohamed Mahmoud akihutubia wananchi kupitia vyombo vya habari katika maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu Duniani zilizofanyika Ofisi ya Mkoa Kusini kitaifa.
 Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Idrissa Kitwana Mustafa akichangia taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa Kusini Unguja katika Maadhimisho ya siku ya Kifua Kikuu Duniani zilizofanyika Ofisi ya Mkoa Tunguu.
 Meneja wa Programu Shirikishi ya Ukimwi, Homa ya Ini, Kifua Kikuu na Ukoma Dk. Farhat Khalid akitoa ufafanuzi wa masuala ya Waandishi wa Habari katika Maadhimisho ya siku ya Kifua Kikuu yaliyofanyika Ofisi ya Mkoa Kusini Unguja ziliopo Tunguu.
 Mkuu wa Mkoa Kusini Unguja, Wakuu wa Wilaya wakiwa kwenye picha ya pamoja na Maafisa wa Programu Shirikishi ya Ukimwi, Homa ya Ini, Kifua Kikuu na Ukoma baada ya kumaliza hotuba ya Maadhimisho ya siku ya
Kifua Kikuu yaliyofanyika Ofisi ya Mkoa Tunguu.

Picha na Makame Mshenga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...