
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akisalimiana na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa
Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad kwa kutokugusana
mikono, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Salamu hiyo ya kutokugusana mikono
ni kutekeleza ushauri ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,
Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wenye lengo kujihadhari dhidi ya virusi vya
ugonjwa wa Corona.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa katika mazungumzo ya faragha na Mwanasiasa Mkongwe ambaye
ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad,
Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Ni hatua nzuri sana aliyoichukua mheshimiwa kwa maana hapo anaondoa tifaut za kisiasa kwa namna moja au nyingine pia itasaidia kwa uchaguzi ujao ufanyike kwa aman kabisa
ReplyDeletehttps://www.diplomaticofficial.com/2020/01/nguvu-ya-lengo-ni-kukaa-kitaalamu.html