Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa katika mazungumzo ya faragha na Mwanasiasa Mkongwe ambaye
ni Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba, Ikulu
Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiagana Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim
Lipumba mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi James
Mbatia Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi
James Mbatia Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa katika Picha na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF
Profesa Ibrahim Lipumba mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu
Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza jambo na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi James
Mbatia Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi James Mbatia Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...