
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza
cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika katika Ukumbi wa Baraza la
Mawaziri Ikulu Chamwino. Kikao hicho kimehudhuriwa na Makamu wa Rais
Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mawaziri
wote, Manaibu Mawaziri pamoja na Viongozi wakuu wa vyombo vya Ulinzi na
Usalama. Chamwino Dodoma. Machi 24, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya
Pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe.
Kassim Majaliwa,Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. John Kijazi, Mawaziri
wote, Manaibu Mawaziri pamoja na Viongozi wakuu wa vyombo vya Ulinzi na
Usalama mara baada ya kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino –
Dodoma. Machi 24, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa Pamoja na Makamu wa
Rais Mhe. Samia Suluhu akitoka nje ya ukumbi wa Baraza la Mawaziri mara
baada ya kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino – Dodoma. Machi 24,
2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa Naibu Waziri wa Nchi
Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, ajira Vijana na Walemavu Mhe. Stella Ikupa
na viongozi wengine mara baada ya kikao cha Baraza la Mawaziri
kilichofanyika Ikulu Chamwino – Dodoma. Machi 24, 2020.



. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipima joto la mwili kabla
ya kuingia katika ukumbi wa Baraza la Mawaziri kuongoza kikao cha
Baraza hilo. Kikao hicho kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia
Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mawaziri wote, Manaibu
Mawaziri pamoja na Viongozi wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama.
Chamwino Dodoma. Machi 24, 2020.
PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...