Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akiongoza Kikao Kazi na Uongozi wa juu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kilichofanyika katika Ukumbi wa Makao Makuu ya wizara, jijini Dodoma. 
Mkuu wa Kitengo cha Mipango,Utafiti na Takwimu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Kamishna Msaidizi, Maria Kulaya akizungumza wakati wa Kikao kazi na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (hayupo pichani), kilichofanyika katika Ukumbi wa Makao Makuu ya wizara, jijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio akizungumza na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, John Masunga (kulia) wakati wa Kikao kazi na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (hayupo pichani), kilichofanyika katika Ukumbi wa Makao Makuu ya wizara, jijini Dodoma.

Msemaji wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Joseph Mwasabeja akizungumza wakati wa Kikao kazi na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (hayupo pichani), kilichofanyika katika Ukumbi wa Makao Makuu ya wizara, jijini Dodoma.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...