Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania PLC, Rosalynn Mworia (katikati) akielezea namna Vodacom walivyojidhatiti kuhakikisha TEHAMA inasaidia sekta ya elimu kupitia mtandao wa Vodacom kwenye kongamano la wadau wa Elimu lililoenda sambamba na maadhimisho ya Wiki ya Ubunifu nchini.   Kulia ni Mwalimu wa Tehama kutoka shule ya msingi Mafinga mkoani Iringa, Apia Lugenge na Mshauri toka UNESCO, Basilina Levira.
Mwanafunzi wa shule ya Sekondari Jangwani, Charity Luckson akichangia mada kwenye kongamano la Elimu  lililofanyika leo jijini Dar Es Salaam
Mkuu wa Kitengo cha Uzalishaji kwa Wateja Wakubwa Ali Z. Ali wa Vodacom Tanzania PLC akielezea namna Shule ndani ya boksi ‘School in a box’ inavyoweza kuhifadhi nishati ya umeme na kutumika kufundishia katika maeneo ambayo yana upungufu wa Walimu na vifaa vya kufundishia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...