Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (Katikati), Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Dk. Anna Mghwira (wa pili kushoto) pamoja na baadhi ya wakimbiaji wa Benki ya Biashara ya DCB wakishiriki mbio za kujifurahisha za kilomita 5 wakati wa mashindano ya Kilimanjaro Marathon 2020 yaliyofanyika katika Uwanja wa Chuo cha Ushirika Mjini Moshi, Kimanjaro leo.
Wafanyakazi
wa Benki ya Biashara ya DCB, wakishiriki mbio za Kilomita 21 pamoja na
wakimbiaji wengine katika Mashindano ya Kilimanjaro marathon yalifanyika
Uwanja wa Chuo cha Ushirika, Mjini Moshi, Kimanjaro leo.
Wakimbiaji
wa Benki ya Biashara ya DCB, wakipasha viungo kabla ya kuanza mbio za
Kilomita 21 za mashindano ya Kilimanjaro Marathon 2020 yaliyofanyika
katika Uwanja wa Chuo cha Ushirika Mjini Moshi, Kimanjaro, leo
Baadhi
ya wakimbiaji wa Benki ya Biashara ya DCB, wakitimua mbio wakati wa
mashindano ya Kilimanjaro Marathon 2020 mjini Moshi Kilimanjaro, leo. 
Wakimbiaji
wa Benki ya Biashara ya DCB, wakipiga picha ya kumbukumbu mara baada
ya kumalizika kwa mashindano ya Kilimanjaro Marathon 2020 katika Uwanja
wa Chuo cha Ushirika, Mjini Moshi, Kimanjaro leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...