Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, amesema
kuwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Nchini vimejipanga vyema kuhakikisha
vinadhibiti vitendo vya uhalifu hasa kutokana na vitendo vya vurugu
vinavyoendelea katika nchi jirani ya Msumbiji.
Aidha, IGP Sirro, amewataka Watanzaania hususan
vijana kuacha kutumiwa na watu wachache
wanaowataka wajiingize kwenye vitendo vya uvunjifu wa amani nchini ikiwemo
kufanya uhalifu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...