Naibu Spika Mheshimiwa Dkt. Tulia
Ackson akipokea tuzo maalum ya kuthamini mchango wake katika kupambana
na Ukimwi na Kifua kikuu nchini iliyotolewa na Chama cha Watu wanaoishi
na Virusi vya Ukimwi nchini (NACOPHA) na kukabidhiwa kwake na Mwenyekiti
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi Mheshimiwa Oscar
Mukasa hii leo Jijini Dodoma.

Naibu Spika Mheshimiwa Dkt. Tulia
Ackson akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya masuala ya Ukimwi Mheshimiwa Oscar Mukasa aliyemkabidhi tuzo
maalum ya kuthamini mchango wake katika kupambana na Ukimwi na Kifua
kikuu nchini iliyotolewa na Chama cha Watu wanaoishi na Virusi vya
Ukimwi nchini (NACOPHA) hii leo Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...