Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
George Simbachawene akinawa mikono kwa maji maalumu yaliyowekwa
dawa alipotembelea Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Mpwapwa,mkoani
Dodoma ikiwa ni kufuata maelekezo yaliyotolewa na wataalamu wa afya
katika kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa homa ya mapafu
unaosababishwa na virusi vya Covid-19.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...