VIONGOZI wa
Madhehemu (kushoto) Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Zanzibar.
Hafidh Michael na Kiongozi wa Madhehebu ya Hindu Zanzibar. Pramuk
Yoges wakielekea katika eneo la kaburi la Marehemu Mzee Abeid Amani
Karume, kwa ajili ya kumuombea dua iliofanyika leo katika kaburi la
marehemu viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui.

RAIS wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,
akihudhuria hafla ya dua ya kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani Karume
Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.(kushoto kwa Rais) Mkuu
wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Brigedia Jenerali Fadhil Omar Nondo na
(kulia kwa Rais) Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe.
Kassim Majaliwa,Waziriu wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar. Mhe. Mohammed Aboud Mohammed, Rais Mstaaf wa Zanzibar. Mhe.
Dkt. Amani Karume na Mwakilishi wa Mabalozi Wadogo Zanzibar. Balozi
Mdogo wa Msumbiji aliyopo Zanzibar Mhe. Jorge Augusto Menezez, wakiwa
katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui wakihudhuria hafla ya dua
maalum ilioyofanyika leo 7/4/2020.

Dkt. Amani Karume,wakiwa katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui wakihudhuria hafla ya dua maalum ilioyofanyika leo 7/4/2020.

RAIS wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,
akihudhuria hafla ya dua ya kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani Karume
Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.(kushoto kwa Rais) Mkuu
wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Brigedia Jenerali Fadhil Omar Nondo na
(kulia kwa Rais) Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe.
Kassim Majaliwa,Waziriu wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar. Mhe. Mohammed Aboud Mohammed, Rais Mstaaf wa Zanzibar. Mhe.
Dkt. Amani Karume na Mwakilishi wa Mabalozi Wadogo Zanzibar. Balozi
Mdogo wa Msumbiji aliyopo Zanzibar Mhe. Jorge Augusto Menezez, wakiwa
katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui wakihudhuria hafla ya dua
maalum ilioyofanyika leo 7/4/2020

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na (kushoto kwa Rais) Mkuu
wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Brigedia Jenerali Fadhil Omar Nondo na
(kulia kwa Rais) Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Kassim Majaliwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar. Mhe.Mohammed Aboud Mohammen na Rais Mstaaf wa Zanzibar, Mhe
Dkt. Amani Karume, wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibare
Sheikh.Saleh Omar Kabi (hayupo pichani) wakati wa dua hiyo ya kumuyombea
Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, iliofanyika katika kaburi la marehemu
viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.

RAIS Mstaaf wa
Zanzibar Zanzibar Mhe. Dkt. Amani Abeid Karume akiwasili katika viwanja
vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui kuhudhuria hafla ya Dua Maalum ya
kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, iliofanyika leo katika
viwanja vya kaburi, akiwa ongozana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe. Mohammed Aboud Mohammed.

WAZIRI Mkuu wa
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akiwasili katika
viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, kuhudhuria
hafla ya Dua Maalum ya kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani Karume,
iliofanyika katika kaburi la marehemu leo,7/4/2020, (kushoto) Waziri wa
Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe. Mohammed Aboud
Mohammed

WAZIRI Mkuu wa
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Kassim Majaliwa na (kulia) Mkuu
wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar. Brigedia Jenerali Fadhil Omar Nondo na
Rais Mstaaf wa Zanzibar. Mhe. Dkt. Amani Karume wakiwa na baadhi ya
Viongozi wakisubiri kuwasili kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kuhudhuria hafla hiyo
iliofanyika katika viwanja vya Kaburi la Marehemu Mzee Abeid Amani
Karume, Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.

MUFTI Mkuu wa
Zanzibar Sheikh Saleh Oamr Kabi na (kulia) Waziri wa Katiba na Sheria
Zanzibar Mhe. Khamis Juma Mwalim na (kushoto) Naibu Kadhi Mkuu wa
Zanzibar Sheikh. Hassan Othman Ngwali, wakielekea katika viwanja vya
kaburi la Marehemu Abeid Amani Karume, kwa ajili ya kumuombea Dua
iliofanyiuka leo 7/4/2020.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...