Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
George Simbachawene akizungumza masuala mbalimbali yanayohusu wakimbizi
na Mwakilishi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi
(UNHCR) nchini, Antonio Canhandula (kulia), wakati mwakilishi huyo
alivyofika ofisini kwa waziri, jijini Dodoma.

Mwakilishi Mkuu wa Shirika la
Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR)nchini, Antonio
Canhandula akizungumza masuala mbalimbali yanayohusu wakimbizi na Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), wakati
mwakilishi huyo alivyofika ofisini kwa waziri, jijini Dodoma.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
George Simbachawene akimsindikiza Mwakilishi Mkuu wa Shirika la Umoja
wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) nchini, Antonio Canhandula
(kulia), baada ya kumaliza mazungumzo mbalimbali yaliyohusu wakimbizi
wakati mwakilishi huyo alivyofika ofisini kwa waziri, jijini
Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...