Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kulia) akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi kabla ya kutembelea na kujionea ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Bunge ya kidato cha tano na sita iliyopo Kikombo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma. Kushoto ni Kamishna Mkuu wa TRA, Dkt. Edwin Mhede, Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Phillip Mipango na Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai
 Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza na wageni mbalimbali kutoka Serikalini, Watumishi wa ofisi ya Bunge na kamati ya ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Bunge ya kidato cha tano na sita wakati walipotembelea na kujionea ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Bunge iliyopo Kikombo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma. Kuanzia kushoto ni Kamishna Mkuu wa TRA, Dkt. Edwin Mhede, Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Phillip Mipango na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi na Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akitambulisha kamati maalum ya ujenzi ya Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Bunge ya kidato cha tano na sita (kulia) wakati walipotembelea na kujionea ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Bunge iliyopo Kikombo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi, Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai, Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Phillip Mipango na Kamishna Mkuu wa TRA, Dkt. Edwin Mhede. Wengine ni watumishi wa Ofisi ya Bunge na Serikalini
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (mwenye tai nyekundu mbele) katika picha ya pamoja na Watumishi kutoka ofisi ya Bunge pamoja na Serikalini walipotembelea na kujionea ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Bunge ya kidato cha tano na sita iliyopo Kikombo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi, Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Phillip Mipango (kushoto kwake), Kamishna Mkuu wa TRA, Dkt. Edwin Mhede (wa pili kushoto mbele) na Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (wanne kushoto mbele)

 (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...