Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akipokea Jezi ya Timu ya Pamba ya jijini Mwanza kutoka kwa Mwenyekiti wa timu hiyo inayoshiriki ligi ya daraja la kwanza kundi B Aleem Alibah (kushoto) walipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dodoma. Kushoto ni Mbunge wa Nyamagana jijini Mwanza Stanslaus Mabula.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akipokea Jezi ya Timu ya Pamba ya jijini Mwanza kutoka kwa Mwenyekiti wa timu hiyo inayoshiriki ligi ya daraja la kwanza kundi B Aleem Alibah (kushoto) alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dodoma.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akiongea na ugeni wa timu ya  Pamba ya jijini Mwanza walipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dodoma. Wa pili kushoto ni Mbunge wa Nyamagana jijini humo Stanslaus Mabula, Mwenyekiti wa timu hiyo Aleem Alibah (wa pili kushoto) na Afisa Habari wa timu hiyo Abdalah Hassan Chauss (wa kwanza kushoto).(Picha na Eleuteri Mangi-WHUSM, Dodoma)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...