Wajumbe wa Kamati za Huduma na Maendeleo ya Jamii na Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji wakifatilia mafunzo ya Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu kwenye maeneo ya kuondoa njaa pamoja na Afya na ustawi wa Watu (SDG 1&2) yaliyotolewa na Mchumi kutoka Wizara ya Fedha, Ndg. Josiah Mwabeza katika semina iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mheshimiwa Peter Serukamba (Kushoto) akichangia wakati wa mafunzo ya Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu kwenye maeneo ya kuondoa njaa pamoja na Afya na ustawi wa Watu (SDG 1&2) katika semina iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni mjini Dodoma. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji Mheshimiwa Mahmoud Mgimwa.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji Mhe Mahmoud Mgimwa (Kulia) na Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Peter Serukamba (kushoto) wakifatilia mafunzo ya Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu kwenye maeneo ya kuondoa njaa pamoja na Afya na ustawi wa Watu (SDG 1&2) katika semina iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji Mheshimiwa Mahmoud Mgimwa (Kulia) akichangia wakati wa mafunzo ya Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu kwenye maeneo ya kuondoa njaa pamoja na Afya na ustawi wa Watu (SDG 1&2) katika semina iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni mjini Dodoma. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...