Bw. Yusuph Seif Afisa Afya
kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamiii, Jinsia, Wazee na Watoto akitoa
elimu juu ya ugonjwa wa Corona kwa watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais hii leo
Mtumba Dodoma. Katika picha ni baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais
wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Mhandisi Joseph Malongo.
Sehemu ya watumishi wa Ofisi
ya Makamu wa Rais wakimsikiliza Bw. Yusuph Seif Afisa Afya kutoka Wizara Afya
(hayupo pichani) wakati wa utoaji wa elimu juu ya ugonjwa corona. Elimu hii
imetolewa nje ya jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais Mtumba – Dodoma huku
watumishi wakizingatia maelekezo ya wataalumu wa afya ya kupeana nafasi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...