
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiteta na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,
Ummy Mwalimu, kwenye kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Uratibu wa Mapambano
dhidi ya Ugonjwa wa Homa kali ya Mapafu (COVID – 19), kilichofanyika
katika, ukumbi wa Hazina, jijini Dodoma, Aprili 14, 2020.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza, kwenye kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Uratibu wa Mapambano
dhidi ya Ugonjwa wa Homa kali ya Mapafu (COVID – 19), kilichofanyika
katika, ukumbi wa Hazina, jijini Dodoma, Aprili 14, 2020.

Waziri wa Afya Zanzibar, Hamad
Rashid, akizungumza jambo, kwenye kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Uratibu
wa Mapambano dhidi ya Ugonjwa wa Homa kali ya Mapafu (COVID – 19),
kilichofanyika katika, ukumbi wa Hazina, jijini Dodoma, Aprili 14, 2020.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, akizungumza jambo, kwenye
kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Uratibu wa Mapambano dhidi ya Ugonjwa wa
Homa kali ya Mapafu (COVID – 19), kilichofanyika katika, ukumbi wa
Hazina, jijini Dodoma, Aprili 14, 2020. ( Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...