RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraz la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)akiangalia ramani ya
Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa inayotarajiwa kujengwa Binguni Wilaya ya
Kati Mkoa wa Kusini Unguja wakati alipotembelea Eneo maalum la ujenzi
huo leo akiwa katika ziara maalum ya kikazi (kulia) Injinia wa Ujenzi
Ramadhan China na (katikati) Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohammed,

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraz la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto)akiangalia
ramani ya Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa inayotarajiwa kujengwa Binguni
Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja wakati alipotembelea Eneo maalum
la ujenzi huo leo akiwa katika ziara maalum ya kikazi (kushoto) Makamo
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, (kulia) Injinia wa
Ujenzi Ramadhan China na (katikati) Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohammed

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraz la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akitoa maelezo kwa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Bi Asha Ali Abdalla (wa pili kulia)
alipotembelea kituo cha Utafiti wa Afya Binguni Wilaya ya Kati Mkoa wa
Kusini Unguja akiwa katika ziara maalum aliyoifanya leo (kulia)Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara maalum
za SMZ Mhe. Haji Omar Kheir na (wa pili kushoto) Waziri wa Afya Hamad
Rashid Mohammed,[Picha na Ikulu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...