Jaji Mkuu wa
Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akimpatia vitendea kazi Hakimu
Mkazi, Mhe. Olivia Towilo leo ofisini kwake, iliyopo Mahakama ya Rufani
Tanzania, Jijini Dar es Salaam baada ya kuampisha.

Jaji Mkuu wa
Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akizungumza mara baada ya
kumuapisha Hakimu Mkazi, Mhe. Olivia Towilo leo ofisini kwake, iliyopo
Mahakama ya Rufani Tanzania, Jijini Dar es Salaam.

Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Wilbert Chuma (wa kwanza kulia) akizungumza jambo kabla ya uapisho huo.

Jaji Mkuu wa
Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akimuapisha Hakimu Mkazi, Mhe.
Olivia Towilo leo ofisini kwake, iliyopo Mahakama ya Rufani Tanzania,
Jijini Dar es Salaam.

Jaji Mkuu wa
Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akitia saini hati ya kiapo cha
Hakimu Mkazi, Mhe. Olivia Towilo leo ofisini kwake, iliyopo Mahakama ya
Rufani Tanzania, Jijini Dar es Salaam baada ya kumuapisha.

Msajili wa
Mahakama ya Rufani Tanzania, Mhe. Kevin Mhina na Msajili wa Mahakama Kuu
ya Tanzania, Mhe. Sharmillah Sarwatt wakihudhuria uapisho huo. Aliyeketi nyuma ni Mtendaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Bw. Humphrey Paya. (Picha na Magreth Kinabo- Mahakama)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...