
Baadhi ya wananchi wa maneo mbalimbali katika jiji la Dar es salaam wakiwa katika soko la Mbezi Luis wilaya ya Ubungo wakijipatia mahitaji yao mbalimbali ambapo fungu la Magimbi ni sh.1000 mpka 2000
(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Bei ya fungu la viazi katika soko la Mbezi Luis wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam fungu linaanzia shilingi 1000, 2000.

Bei ya fungu la Magimbi na Viazi kati ya sh.1000/= mpaka 2000/= katika soko la Mbezi Luis wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam kama inavyo onekana katika picha.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...