Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiweka Shada
la Maua kwenye Kaburi la aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria
Marehemu Balozi Augustine Mahiga wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika
katika kijiji cha Tosamaganga Mkoani Iringa, Makamu wa Rais
alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Magufuli kwenye Mazishi hayo.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiweka
Mchanga kwenye Kaburi la aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria
Marehemu Balozi Augustine Mahiga wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika
katika kijiji cha Tosamaganga Mkoani Iringa, Makamu wa Rais
alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Magufuli kwenye Mazishi hayo.

Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimfariji
Dada wa Marehemu Balozi Dkt. Augustine Mahiga Bibi Rustica Mahiga
Baada ya Mazishi ya hayo yaliyofanyika katika kijiji cha Tosamaganga
Mkoani Iringa, Makamu wa Rais alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli kwenye Mazishi hayo.

Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza
kwenye Mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Marehemu Balozi
Augustine Mahiga alipomuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli yaliyofanyika katika kijiji cha
Tosamaganga Mkoani Iringa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...