Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Wabunge, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma, May 28,
2020. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby na Mbunge wa
Busega, Raphael Chegeni.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Wabunge, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma, May 28,
2020. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Buhigwe, Albert Obama, Naibu Waziri wa
Elimu Sayansi na Teknolojia, William Olenasha, Mbunge wa Viti Maalum,
Ester Mahawe, Mbunge Bukoba Vijijini, Jasson Rweikiza, Mbunge wa Kilolo,
Venance Mwamoto.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Naibu Waziri wa Madini, Ladislaus Nyongo, katika viwanja
vya Bunge jijini Dodoma, May 28, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...