Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa,
akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Uwekezaji, Angelah
Kairuki, Bungeni jijini Dodoma, May 22, 2020. ( Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa,
akizungumza na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango,
Bungeni jijini Dodoma, May 22, 2020. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...