

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt.
Tulia Ackson akizungumza jambo mbele ya Wajumbe wa Umoja wa Wabunge
Wanawake Tanzania (TWPG) wakati wa kikao cha Maandalizi ya Kutathmini
Maendeleo ya Programu ya Malezi kilichofanyika leo katika Ukumbi wa
Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Kaimu Mwenyekiti Umoja wa Wabunge
Wanawake Tanzania (TWPG) Mhe. Zainab Vullu (katikati) akizungumza na
Wajumbe wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG) wakati wa kikao cha
Maandalizi ya Kutathmini Maendeleo ya Programu ya Malezi kilichofanyika
leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Mratibu
wa Vikao vya Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG) Ofisi ya Bunge,
Ndg. Angelina Sanga na Mshauri Muelekezi wa Mradi wa Malezi, Dkt.
Godfrey Chambua

Mjumbe Umoja wa Wabunge Wanawake
Tanzania (TWPG), Mhe. Magdalena Sakaya akizungumza na Wajumbe wa Umoja
wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG) wakati wa kikao cha Maandalizi ya
Kutathmini Maendeleo ya Programu ya Malezi kilichofanyika leo katika
Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Mshauri Muelekezi wa Mradi wa
Malezi, Dkt. Godfrey Chambua akitoa ufafanuzi mbele ya Wajumbe wa Umoja
wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG) wakati wa kikao cha Maandalizi ya
Kutathmini Maendeleo ya Programu ya Malezi kilichofanyika leo katika
Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Mjumbe wa Umoja
wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Hasna Mwilima akisisitiza
jambo mbele ya Wajumbe wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG)
wakati wa kikao cha Maandalizi ya Kutathmini Maendeleo ya Programu ya
Malezi kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
Kushoto ni Mjumbe wa Umoja huo Mhe. Esther Mahalu
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...